Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 115:14:58
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Delphin: "Nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawataki tuongee kuhusu yaliyo fanyika 1994"?
06/08/2022 Duración: 11minWanachama wa jamii yawanyarwanda wame chapisha kitabu chenye zaidi ya hadithi 100 kuhusu waliyo shuhudia wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994.
-
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2022
04/08/2022 Duración: 17minSerikali ya shirikisho ya sherehekea kupitishwa kwa muswada wake wa kwanza bungeni.
-
Labor yachukua hatua yakuondoa matumizi ya kadi ya malipo
31/07/2022 Duración: 08minSerikali ya Albanese ili ahidi kabla ya uchaguzi mkuu kuwa, ita futa matumizi ya malipo ya kadi ya benki yenye utata.
-
Taarifa ya Habari 31 Julai 2022
31/07/2022 Duración: 17minWaziri Mkuu aweka wazi maneno yatakayo tumiwa kwenye kura ya maoni, yakutoa sauti kwa wa Australia wa kwanza bungeni.
-
Australia yachukua hatua kuelekea kutoa Sauti ya wa Australia wa kwanza bungeni
31/07/2022 Duración: 07minWaziri Mkuu Anthony Albanese amependekeza mageuzi kwa katiba, wakati Australia inachukua hatua zakihistoria zakuwa na sauti ya watu wa asili bungeni.
-
Mejja awapa wagenge chanjo
27/07/2022 Duración: 09minNi takriban miaka mbili tangu tamasha zilipo pigwa marufuku, katika juhudi yakudhibiti usambaaji wa maambukizi ya UVIKO-19.
-
SBS Swahili Mubashara 26 Julai 2022
27/07/2022 Duración: 49minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
SBS Swahili Mubashara 24 Julai 2022
27/07/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Ni mbinu gani bora yakupasha joto nyumba yako nchini Australia?
26/07/2022 Duración: 11minKuchagua mfumo sahihi wakupasha joto katika nyumba yako, huwa rahisi unapojua vifaa ambavyo vipo.
-
Taarifa ya Habari 26 Julai 2022
26/07/2022 Duración: 15minSerikali ya Albanese yataka muswada unao husu mabadiliko ya tabianchi, kuwa ushindi wake wa kwanza bungeni.
-
Je! kipi bora, kuwakilisha nchi yako au kujitaftia maslahi yako binafsi?
24/07/2022 Duración: 13minWanariadha wengi wenye asili ya Kenya, wana endelea kujipata kwenye njia panda, wengi wakikabiliwa na uamuzi wakuwakilisha nchi zao nakusalia na pato dogo au kujitafutia riziki zao binafsi katika mataifa mengine.
-
Taarifa ya Habari 24 Julai 2022
24/07/2022 Duración: 18minSerikali ya shirikisho kuwasilisha miswada 18 katika wiki ya kwanza ya vikao vya bunge la 47.
-
Djuma "maandalizi yetu kwa mashindano ya mwisho wa mwaka yana endelea vizuri"
20/07/2022 Duración: 04minKundi la vijana kutoka jamii yenye asili ya Jamhuri yakidemokrasia ya Congo wanao ishi mjini Sydney, lina ongeza kasi ya maandalizi kwa mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu ya mwisho wa mwaka.
-
SBS Swahili Mubashara 19 Julai 2022
20/07/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Fikiri kwa makini kabla upige simu kwa 000
19/07/2022 Duración: 13minJeshi la polisi lina wahamasisha wa Australia watumie namba ya (000) kwa dharura tu, na wawasiliene na polisi kwa matukio mengine yasiyo ya dharura kupitia namba zingine za huduma.
-
Taarifa ya Habari 19 Julai 2022
19/07/2022 Duración: 16minMamlaka waongeza juhudi kuhakikisha usalama wa wanafunzi dhidi ya milipuko ya UVIKO-19, baada ya shule kufunguliwa tena kwa mhula wa tatu.
-
Bw Elongo afunguka kuhusu huduma za ASSIDA
18/07/2022 Duración: 07minShirika la ASSIDA hutoa huduma kwa jamii zawakimbizi na wahamiaji mjini Sydney, Australia.
-
Taarifa ya Habari 17 Julai 2022
17/07/2022 Duración: 18minMfumo wa huduma ya afya wa Victoria wapigwa jeki kwa uwekezaji wa zaidi ya dola milioni mia moja.
-
SBS Swahili Mubashara 12 Julai 2022
13/07/2022 Duración: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Monga:"mimi ni daraja kati ya familia, wanafunzi na shule"
13/07/2022 Duración: 09minMoja ya changamoto kubwa ambayo hukabili familia nyingi zinazo wasili nchini Australia kama wakimbizi, ni jinsi yakuwasiliana na shule za watoto wao kufuatilia maendeleo yao au panapo kuwa tatizo.