Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Ps Ngugi "Siku hizi watu wamekosa muda wakushiriki katika ibada"
09/04/2023 Duración: 10minNyumba nyingi za ibada kote duniani hufurika wakati wa pasaka, hali ambayo ni tofuati na wakati mwingine wa mwaka.
-
Umepata faini? Hivi ndivyo unastahili fanya kuilipa na kuepuka madhara makubwa yakutofuata sheria
09/04/2023 Duración: 10minWatu wengi nchini Australia hawa elewi madhara yakupuuza faini ni gani.
-
Taarifa ya Habari 4 Aprili 2023
04/04/2023 Duración: 19minMaafisa wa ngazi za juu wa Australia wamekutana na washiriki wao kutoka China mjini Beijing, kujadili vikwazo vyaki biashara vinavyo endelea katika ishara mpya yakuboresha diplomasia.
-
Amedee bado tuna safari ndefu kisiasa barani Afrika
03/04/2023 Duración: 12minWakaazi wa New South Wales walishiriki katika uchaguzi ulio bandua serikali mamlakani.
-
Taarifa ya Habari 2 Aprili 2023
02/04/2023 Duración: 17minKiongozi wa Victoria amesema kushindwa kwa chama cha Liberal katika chaguzi dogo la Aston, kume onesha wapiga kura wanaendelea kutupilia mbali aina chafu ya siasa.
-
Albanese aunga mkono ongezeko ya mshahara kwa wafanyakazi wa pato la chini
02/04/2023 Duración: 08minSerikali ya shirikisho imependekeza wafanyakazi wenye pato la chini nchini Australia, waongezewe mshahara ila, serikali haija sisitiza kuwa ongezeko hilo la mshahara liwe sambamba na mfumuko wa bei.
-
George "Kenya iko katika hatari yakutokomea"
29/03/2023 Duración: 11minJiji la Nairobi, Kenya kwa mara nyingine lime shuhudia mapambano makali kati ya jeshi la polisi na waandamanaji wanao taka serikali ishughulikie ongezeko la gharama ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 28 Machi 2023
28/03/2023 Duración: 18minMazungumzo kati ya serikali ya shirikisho ya Labor na chama cha Greens, yanaendelea kuhusu muswada wa mfuko wa uwekezaji wa usoni wa nyumba nchini Australia. Chama cha Greens na wabunge wengine huru, wameomba muswada huo uimarishwe kwa uwekezaji wa ziada kwa nyumba zajamii nawapangaji.
-
Labor yashinda uchaguzi wa NSW, nakusitisha miaka 12 katika upinzani
28/03/2023 Duración: 08minLabor imekamilisha kinacho julikana kama ushindi thabiti wakisiasa katika bara zima la Australia, baada ya matokeo ya uchaguzi wa New South Wales.
-
Ramadan na Eid ni nini na huwa zina adhimishwa aje nchini Australia?
27/03/2023 Duración: 10minJe! ushawahi jiuliza umuhimu wa Ramadan na Eid ni nini katika utamaduni waki Islamu? Na sherehe hizi zina umuhimu gani kwa marafiki, majirani na watu unao fanyakazi nao ambao niwa Islamu?
-
Taarifa ya Habari 26 Machi 2023
26/03/2023 Duración: 20minJimbo la Kusini Australia limekuwa jimbo la kwanza nchini, kutunga sheria kwa uwepo wa sauti yawa Australia wakwanza bungeni.
-
Esther "bado tuna kazi ya ziada katika harakati zakutetea haki za wanawake"
15/03/2023 Duración: 14minHarakati zakutetea haki za wanawake zime dumu kwa zaidi ya miaka 112, licha ya mafanikio ambayo wanaharakati wame pata bado wana hisi kuna kazi ya ziada katika kampeni yao.
-
Taarifa ya Habari 14 Machi 2023
14/03/2023 Duración: 19minMawaziri wa ngazi ya juu katika serikali yamadola, waongeza juhudi kutuliza wasiwasi kandani kuhusu Australia kupata manowari zinazo tumia nguvu ya nyuklia.
-
Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia
14/03/2023 Duración: 12minKuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
-
Taarifa ya Habari 12 Machi 2023
12/03/2023 Duración: 18minWapiga kura wa NSW wakabiliwa kwa ahadi za hela kutoka kwa vyama vya siasa vinavyo wania uchaguzi wa 25 Machi 2023.
-
Leyla "wanawake wameleta maendeleo na utendaji bora katika uongozi"
08/03/2023 Duración: 07minWanawake kote duniani wana jumuika katika sherehe za siku yakimataifa ya wanawake.
-
Taarifa ya Habari 7 Machi 2023
07/03/2023 Duración: 18minWaziri Mkuu akataa kutenga gesi kwenye matumizi ya nishati, ili muswada wake uungwe mkono na chama cha Greens bungeni.
-
Ujuzi wa huduma ya kwanza unaweza okoa maisha, hivi ndivyo nasehemu yakupata mafunzo nchini Australia
07/03/2023 Duración: 12minWatu wengi huwa hawatarajii kuwa katika hali ya dharura, hadi wanapo jipata katika hali hiyo.
-
Taarifa ya Habari 5 Machi 2023
05/03/2023 Duración: 14minWaziri Mkuu aikosoa serikali ya NSW katika kampeni ya uchaguzi jimboni humo.
-
Jinsi yakupata matibabu kwa bei nafuu nchini Australia
02/03/2023 Duración: 10minRaia wa Australia, wakaazi wakudumu na wakimbizi wanaweza pata matibabu bure au kwa bei nafuu pamoja na madawa, kwa kujisajili katika mfumo wa Medicare, ambao ni mfumo wa huduma ya afya kwa wote.