Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Sofia na Anna:"tunashiriki katika mashindano ya soka kuboresha afya yetu"
11/11/2022 Duración: 08minWanawake na wasichana wanao ishi mjini Sydney, kwa muda mrefu walikuwa wakiomba kujumuishwa katika michuano ya kombe la Afrika.