Sbs Swahili - Sbs Swahili

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

 • Wito waongezeka kufanya udhibiti wa kulazimisha uwekosa la jinai

  Wito waongezeka kufanya udhibiti wa kulazimisha uwekosa la jinai

  04/05/2021 Duración: 13min

  Wanaharakati wakupinga ukatili wa nyumbani, wanataka tabia zakudhibiti ambazo maranyingi hufuatwa na unyanyasaji wakimwili zifanywe kuwa jinai.

 • Taarifa ya habari 4 Mei 2021

  Taarifa ya habari 4 Mei 2021

  04/05/2021 Duración: 10min

  Jimbo la Magharibi Australia kusaidia jamii yawahindi jimboni humo kutuma msaada kwa jamaa wao nchini India, na serikali ya jimbo la NSW, kuwekeza katika teknolojia kuunda chanjo za mRNA 

 • Rais wa Somalia atangaza ameachana na nia yakusalia madarakani

  Rais wa Somalia atangaza ameachana na nia yakusalia madarakani

  03/05/2021 Duración: 06min

  Baada ya wiki za maandamano na shinikizo kali kutoka vyama vya upanzani, Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo ametangaza kuwa ana achana na nia yake yakusalia madarakani kwa miaka mbili ijayo.

 • Taarifa ya habari 2 Mei 2021

  Taarifa ya habari 2 Mei 2021

  02/05/2021 Duración: 10min

  Upinzani wakiri kushindwa katika uchaguzi mkuu wa Tasmania na jimbo la magharibi Australia, laeupuka vizuizi vingine vya coronavirus.

 • Baraza lamawaziri wakitaifa lajadili ndege za dharura kwa wa Australia ambao wako India

  Baraza lamawaziri wakitaifa lajadili ndege za dharura kwa wa Australia ambao wako India

  01/05/2021 Duración: 10min

  Safari za ndege za dharura zina andaliwa kwa niaba yawa Australia ambao wamekwama nchini India baada ya 15 Mei ila, waziri mkuu wa wilaya ya kaskazini amesema, marufuku ya usafiri yanastahili ongezwa hadi mwisho wa Mei au hata jadi Juni.

 • Alfred Koech afunguka kuhusu vizuizi vya ghafla Magharibi Australia

  Alfred Koech afunguka kuhusu vizuizi vya ghafla Magharibi Australia

  28/04/2021 Duración: 10min

  Wakazi wa jimbo la Magharibi Australia wameishi, kwa muda mrefu bila vizuizi vyovyote vya Coronavirus tofauti na wenzao kote nchini Australia.

 • Taarifa ya habari 27 Aprili 2021

  Taarifa ya habari 27 Aprili 2021

  27/04/2021 Duración: 13min

  Waziri Mkuu Scott Morrison ametetea mfumo wa Australia wa karantini ya hoteli, licha ya wito kwa wasafiri wanao rejea nchini kutoka ng'ambo wajitenge katika vifaa vyakikanda.

 • Taarifa ya habari 25 Aprili 2021

  Taarifa ya habari 25 Aprili 2021

  25/04/2021 Duración: 12min

  Ibada zimefanyika hii leo kuadhimisha mwaka wa 106, wa vikosi vya Australia na New Zealand kutua katika eneo la Gallipoli nchini Uturuki.

 • Utofauti wa tamaduni zawa Anzacs wa Australia

  Utofauti wa tamaduni zawa Anzacs wa Australia

  25/04/2021 Duración: 13min

  Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

 • Stephen Tongun afunguka kuhusu uigizaji nchini Australia

  Stephen Tongun afunguka kuhusu uigizaji nchini Australia

  24/04/2021 Duración: 14min

  Stephen Tongun ni mwanasheria, mjasiriamali na mwigizaji katika tasnia ambako waigizaji wenye asili ya Afrika ni nadra.

 • Baraza lamawaziri lakitaifa lakutana, wakati safari za eneo la Trans Tasman zaanza tena

  Baraza lamawaziri lakitaifa lakutana, wakati safari za eneo la Trans Tasman zaanza tena

  20/04/2021 Duración: 08min

  Baraza lamawaziri lakitaifa lilikutana jana kwa mara ya kwanza, tangu wakati mikutano ya mara mbili kwa wiki ilipotangazwa, kwa ajili yakurejesha mradi wakitaifa wa chanjo katika mwelekeo unao faa.

 • Taarifa ya habari 20 Aprili 2021

  Taarifa ya habari 20 Aprili 2021

  20/04/2021 Duración: 12min

  Madaktari wameonya kuwa changamoto kubwa ya chanjo ya coronavirus nchini Australia kwa sasa ni pigo kwa imani ya umma. 

 • Jamii yawatanzania wa Melbourne, yamkumbuka hayati Dkt Magufuli

  Jamii yawatanzania wa Melbourne, yamkumbuka hayati Dkt Magufuli

  19/04/2021 Duración: 11min

  Jamii yawatanzania wanao ishi mjini Melbourne, Victoria wame kuwa waki ishi chini ya vizuizi kadhaa wakati huu wa janga la COVID-19.

 • Wakenya wajitokeza kunusuru familia mjini Sydney, Australia

  Wakenya wajitokeza kunusuru familia mjini Sydney, Australia

  19/04/2021 Duración: 16min

  Jamii yawakenya wanao ishi mjini Sydney, wanasifa ya ukarimu na mshikamano.

 • Wakenya walazimisha shirika la fedha ulimwenguni (IMF) kujitetea

  Wakenya walazimisha shirika la fedha ulimwenguni (IMF) kujitetea

  18/04/2021 Duración: 07min

  Maelfu yawakenya walijumuika mitandaoni kuonesha ghadhabu yao kwa ongezeko ya madeni, na gharama kubwa ya maisha nchini mwao.

 • Taarifa ya habari 18 Aprili 2021

  Taarifa ya habari 18 Aprili 2021

  18/04/2021 Duración: 13min

  Wa Australia walio chanjwa kuanza kusafiri kimataifa baadae mwaka huu, na safari kati ya Australia na New Zealand kuanza tena saa sita usiku wa 18 Aprili 2021.

 • Jamii yawanyarwanda wa New South Wales, wafunguka kuhusu mauaji ya 1994

  Jamii yawanyarwanda wa New South Wales, wafunguka kuhusu mauaji ya 1994

  14/04/2021 Duración: 21min

  Picha na kanda za video zilizokuwa zikitoka nchini Rwanda katika mwezi wa Aprili 1994, zili kera nakutikisa jamii yakimataifa.

 • Je! unajua jinsi yakutambua visa vya unyanyasaji wa nyumbani?

  Je! unajua jinsi yakutambua visa vya unyanyasaji wa nyumbani?

  13/04/2021 Duración: 09min

  Takwimu zinaendelea kuonesha kuwa wanawake huathiriwa zaidi kwa maswala ya unyanyasaji wa nyumbani, takwimu hizo zimeonesha pia kuwa, wanaume nao huathiriwa kwa unyanyasaji wa nyumbani.

 • Taarifa ya Habari 13 Aprili 2021

  Taarifa ya Habari 13 Aprili 2021

  13/04/2021 Duración: 14min

  Mdhibiti wamadawa nchini Australia, ametambua kesi ya pili nadra yakuganda kwa damu, ambayo ime ungwa na chanjo ya AstraZeneca.

 • Wa Australia wakaribisha tena tamaduni za Ramadan, zilizo simamishwa na vizuizi mwakajana

  Wa Australia wakaribisha tena tamaduni za Ramadan, zilizo simamishwa na vizuizi mwakajana

  13/04/2021 Duración: 07min

  Zaidi ya nusu ya milioni yawa Islamu wa Australia, wana adhimisha siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadan ambao ume anza hii leo jumanne 13 Aprili 2021.

página 1 de 20