Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Morrocco yapeperusha bendera ya Afrika kwa fahari katika kombe la dunia
08/12/2022 Duración: 06minMichuano ya kombe la dunia ilipoanza, bara zote za dunia zilikuwa na wawakilishi.
-
Nyoka wa Australia na Buibui: Nini chakufanya ziki kuuma
06/12/2022 Duración: 12minKinyume na imani maarufu, visa vingi vyaku umwa na buibui nchini Australia, husababisha madhara madogo, na visa vya wanao umwa na nyoka wenye sumu ni nadra pia.
-
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2022
06/12/2022 Duración: 15minWaziri mkuu atupilia mbali madai kuwa haja toa taarifa, kwa washirika wake kwa mpango wakupunguza bei ya nishati.
-
Socceroos waaga kombe la dunia kibabe
05/12/2022 Duración: 06minMatumaini ya mashabiki wa timu ya taifa ya Australia inayo julikana kwa jina la "Socceroos" kucheza katika robo fainali, yame gonga mlinda lango wa Argentina Emiliano Martinez.
-
Taarifa ya Habari 4 Disemba 2022
04/12/2022 Duración: 20minSerikali ya Albanese yatarajiwa kuwasilisha mipango kwa serikali zamajimbo na mikoa kwa lengo laku punguza bili za nishati kwa kuweka kikomo kwa bei ya makaa yamawe yanayo uzwa nchini.
-
M23 yaomba mazungumzo na serikali ya DRC
03/12/2022 Duración: 06minMazungumzo kati ya viongozi wa mataifa ya kanda la Afrika Mashariki, pamoja na ongezeko la vikosi vyakulinda amani vya kanda hilo katika maeneo ya Kaskazini ya Kivu, yame lazimisha kundi la M23 kuomba mazungumzo na serikali ya DRC.
-
Dkt Damascent aweka wazi jinsi yaku epuka saratani ya tezi dume
01/12/2022 Duración: 17minAfya ni moja ya vitu ambavyo wanaume wengi kote duniani hufeli kutilia maanani, wengi wao wakisubiri hadi wanakuwa katika hali mbaya zaidi kupata huduma.
-
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2022
29/11/2022 Duración: 18minSerikali ya shirikisho inaendelea kukabiliwa kwa shinikizo, kuweka kikomo kwa bei ya jumla ya gesi, wakati gharama za nishati zinaendelea kuongezeka pamoja na mgogoro kwa gharama ya maisha.
-
Royal Life Saving yazindua kampeni ya usalama wa majira ya joto
29/11/2022 Duración: 09minTunapo ingia katika majira ya joto, shirika la Royal Life Saving Australia, limezindua kampeni mpya kukabiliana na ongezeko kubwa kwa idadi ya visa vya vifo vinavyo sababishwa na kuzama majini nchini Australia.
-
Socceroos wajipa uhai katika kombe la dunia la FIFA Qatar 2022
29/11/2022 Duración: 06minWadau wengi wa soka hawakuipa Australia, nafasi katika orodha ya timu zenye uwezo wakufuzu kutoka kundi lao la D la Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022.
-
Taarifa ya Habari 27 Novemba 2022
27/11/2022 Duración: 19minChama cha Labor cha sherehekea ushindi wa tatu katika uchaguzi wa Victoria, hali ambayo ime mfanya kiongozi wa upinzani wa mseto kujiuzulu baada yakushindwa mara mbili mfululizo.
-
Dr Masengo: "Kuna mbinu nne zaku tatua changamoto unazo kabili"
24/11/2022 Duración: 20minWatu wengi duniani wanakabiliana na changamoto za kila aina, ambazo huwapa hisia ni kama hazina suluhu.
-
George "Uzuri wa spoti ni kwamba haubagui"
23/11/2022 Duración: 12minKombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar lime ingia katika siku ya tatu, na mashabiki wamepata burudani tele katika kila mechi ambayo wametazama.
-
Taarifa ya Habari 22 Novemba 2022
22/11/2022 Duración: 17minWaziri Mkuu na kiongozi wa New South Wales wametembelea mji wa Eugowra ambao uliathiriwa kwa mafuriko, kutangaza utoaji wa ruzuki ya ziada.
-
Jinsi yakufanya maandalizi yakukabiliana na dhoruba na mafuriko
20/11/2022 Duración: 13minKatika muongo uliopita, Australia imepitia baadhi ya matukio mabaya sana yamafuriko yaliyo wahi rokodiwa katika historia. Kati ya mwaka wa 2020-2022, maeneo mengi yamezama chini ya maji kati ya mara tatu na nne.
-
Taarifa ya Habari 20 Novemba 2022
20/11/2022 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese ame elezea imani yake kuwa vizuizi vya biashara kutoka China dhidi ya Australia vyenye thamani ya dola bilioni 20, vita anza kuondolewa baada ya mkutano wake na Rais Xi Jinping katika hoteli yamapumziko kisiwani Bali ambako mkutano wa G20 uliandaliwa.
-
Mwalimu na nahodha wake watofautiana kuhusu matarajio kwa kombe la dunia
17/11/2022 Duración: 08minKombe la Afrika la Sydney, NSW lina elekea katika robo fainali na tayari timu husika zimejua kinacho wasubiri katika mechi hizo.
-
Poni na Katinda: "Njooni tusherehekea muziki na tamaduni zetu za Afrika"
16/11/2022 Duración: 08minNi miaka tisa tangu, Tamasha ya Muziki na Tamaduni za Afrika ilipo anzishwa mjini Melbourne, Victoria.
-
Taarifa ya Habari 15 November 2022
15/11/2022 Duración: 19minIdhini yatolewa kwa matumizi ya chanjo mpya ya UVIKO-19, wakati idadi ya ongezeko ya kesi za virusi hivyo zinaendelea kushuhudiwa kote nchini.
-
Taarifa ya Habari 13 Novemba 2022
13/11/2022 Duración: 19minSerikali ya shirikisho kuendelea kuwinda nakuvuruga shughuli za wahalifu wa mtandaoni asema waziri usalama wa mtandaoni