Sbs Swahili - Sbs Swahili

Esther "bado tuna kazi ya ziada katika harakati zakutetea haki za wanawake"

Informações:

Sinopsis

Harakati zakutetea haki za wanawake zime dumu kwa zaidi ya miaka 112, licha ya mafanikio ambayo wanaharakati wame pata bado wana hisi kuna kazi ya ziada katika kampeni yao.