Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 117:03:36
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia hiyo haitambuliwi?
16/09/2022 Duración: 14minThe Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples that occurred during the British settlement of Australia. Even though Australia honours its involvement in wars fought overseas, it is yet to acknowledge the struggle that made it the country it is today. - The Frontier Wars ni neno ambalo hutumiwa mara nyingi kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati yawakoloni na jamii yawa Australia wa kwanza, wakati Wangereza walipo wasili kujenga makaazi yao Australia. Hata kama Australia huenzi uhusika wake katika vita ilivyoshiriki ng'ambo, bado haija tambua mapambano yaliyo ifanya iwe ilivyo leo.
-
Leyla: "Balozi za Kenya zinastahili jali maslahi yawakenya wanao fanya kazi nje ya nchi"
15/09/2022 Duración: 10minIdadi yawakenya wanao safiri kwenda kuanza ajira, katika nchi za kigeni inaongezeka kila siku.
-
SBS Swahili Mubashara 13 Septemba 2022
15/09/2022 Duración: 54minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Gharama kubwa yatarajiwa kwa likizo ya ghafla ya umma
14/09/2022 Duración: 07minLikizo ya umma isiyotarajiwa imewaacha mashakani wazazi wengi, shule, wafanyakazi wa sekta mhimu pamoja na biashara.
-
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2022
13/09/2022 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa ataunga mkono, pendekezo kutoka serikali zamajimbo na wilaya kuongeza muda wa malipo ya likizo ya dharura ya janga zaidi ya mwezi huu.
-
Jukumu la Ufalme wa Uingereza ni nini nchini Australia?
13/09/2022 Duración: 09minAustralia inadumisha uhusiano rasmi nawa hisia na ufalme wa Uingereza, kama urithi wa ukoloni wa Uingereza.
-
Je! Ni sahihi kwa Tanzania kuwa na siku 5 zamaombolezi ya Malkia Elizabeth II?
12/09/2022 Duración: 22minTangazo la serikali ya Tanzania kuwa na siku 5 zakuomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II, limepokewa kwa hisia mseto ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Taarifa ya Habari 11 Septemba 2022
11/09/2022 Duración: 16minMfalme Charles III ametangazwa rasmi kama kiongozi mpya ya Australia, katika sherehe maalum ndani ya Bunge la Taifa mjini Canberra.
-
George: "Tunaomba Rais Ruto alete pamoja waliompigia kura na ambao hawakumpigia kura"
08/09/2022 Duración: 14minKenya imejipata kwenye njia panda, nusu ya nchi ikijawa furaha na nusu ya nchi ikijawa majonzi kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Upeo ya taifa hilo.
-
SBS Swahili Mubashara 6 Septemba 2022
07/09/2022 Duración: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Bunge la anza vikao kwa kukabili maswala ya ustawi
06/09/2022 Duración: 07minSerikali ya shirikisho iko chini ya shinikizo kuongeza kiwango cha malipo ya jobseeker, juu ya kiwango kilichopo gharama ya maisha nchini Australia inapo endelea kuongezeka.
-
Taarifa ya Habari 6 Septemba 2022
06/09/2022 Duración: 18minSerikali ya shirikisho yashinikizwa iongeze muda wa makato ya kodi ya mawese, ambayo imeratibiwa kuisha mwisho wa mwezi huu.
-
Raila na Ruto kujua hatma ya ndoto zao zakuwa Rais
05/09/2022 Duración: 06minVinara wa mirengo yakisiasa nchini Kenya wanasubiri kwa hamu, kujua maamuzi ya mahakama ya upeo kwa maombi iliyo pokea kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu.
-
Wafanyakazi wako tayari kuwasili Australia kujaza mapengo ya ajira
04/09/2022 Duración: 07minSerikali ya shirikisho imesema ita harakisha ujio wa wafanyakazi kutoka visiwa vya Pasifiki nchini Australia, kwa ajili yaku shughulikia uhaba mkubwa wa wafanyakazi katika sekta ya kilimo.
-
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2022
04/09/2022 Duración: 18minMpango wa chama cha Labor kuzuia waajiri, kufuta makubaliano ya ajira yakasirisha upinzani wa shirikisho.
-
Emma: "Nilipelekwa mahakamani kwa sababu ya nyumba yaku kodi"
01/09/2022 Duración: 12minWanachama wengi wa jamii zawa Afrika wanao ishi Australia, wamepitia uzoefu wakukosa nyumba za kodi zinazo faa familia zao.
-
SBS Swahili Mubashara 30 Agosti 2022
01/09/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Liverpool yatoa kichapo chakihistoria
31/08/2022 Duración: 11minLigi kuu ya soka ya Uingereza huvutia mamilioni yamashabiki kote duniani.
-
Taarifa ya Habari 30 Agosti 2022
30/08/2022 Duración: 19minSerikali ya shirikisho itaendelea na mpango wamakato ya kodi, kwa wanao pokea mishahara mikubwa, licha ya ukosoaji mkali kutoka bungeni.
-
Simamisha mzunguko wa vurugu, kuwa mfano chanya
30/08/2022 Duración: 13minNi mara ngapi tumesikia usemi kuwa, “wavulana watakuwa wavulana” au “ni sawa, alifanya hivyo kwa sababu anakupenda”, kuhusu tabia za kukosa heshima au vurugu dhidi ya wasichana au wanawake?