Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2023
04/09/2023 Duración: 07minWaziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.
-
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023
03/09/2023 Duración: 16minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.
-
Delphine "Jamii imepokea kazi zetu vizuri ila, tunahitaji waje tushirikiane nao zaidi"
03/09/2023 Duración: 07minJumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.
-
Brian "Kita eleweka 16 Septemba ndani ya Melbourne Pavilion"
31/08/2023 Duración: 17minBrian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.
-
Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day
31/08/2023 Duración: 09minWanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.
-
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023
29/08/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.
-
Jinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia
29/08/2023 Duración: 12minAustralia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yametokea kwa ma milioni ya miaka.
-
Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda
27/08/2023 Duración: 07minWanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.
-
Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney
23/08/2023 Duración: 09minWapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.
-
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023
22/08/2023 Duración: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume ya ushauri katika katiba.
-
Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika"
22/08/2023 Duración: 07minNchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.
-
Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza
22/08/2023 Duración: 09minKuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.
-
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023
20/08/2023 Duración: 18minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.
-
Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia
20/08/2023 Duración: 10minTofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.
-
Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden"
17/08/2023 Duración: 10minMakampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.
-
Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria"
17/08/2023 Duración: 11minNi kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.
-
Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023
15/08/2023 Duración: 15minTakwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.
-
Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru"
15/08/2023 Duración: 07minMapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.
-
Taarifa ya Habari 14 Agosti 2023
15/08/2023 Duración: 06minWazazi wa mwomba hifadhi kutoka Iran aliye uawa wakati wa mgomo katika kisiwa cha Manus mnamo 2014, wamefikia suluhu ya siri na serikali ya shirikisho pamoja na kampuni ya ulinzi ya G4S.
-
Voice Referendum: What is it and why is Australia having one? - Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya?
09/08/2023 Duración: 11minAustralians will vote in the Indigenous Voice to Parliament referendum on October 14. Here’s what you need to know about the process, including why it’s taking place, and the information that communities can expect to help guide their decisions at the polls. - Je wajua kwamba wa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait hawa tambuliwi ndani ya katiba ya Australia?