Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:33
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Uingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda - Mei 01, 2024
01/05/2024 Duración: 29minUingereza yatuma mtafuta hifadhi wake wa kwanza nchini Rwanda .
-
Watu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki - Aprili 30, 2024
30/04/2024 Duración: 30minWatu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki
-
Alfajiri - Aprili 29, 2024
29/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Serikali ya Kenya yaanza juhudi mahsusi zikijumuisha idara na mashairika kadhaa kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazoendelea - Aprili 26, 2024
26/04/2024 Duración: 29minJeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifo
-
Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024
25/04/2024 Duración: 29minRipoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
-
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania - Aprili 24, 2024
24/04/2024 Duración: 29minBenki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
-
Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024
23/04/2024 Duración: 29minHistoria iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
-
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York - Aprili 22, 2024
22/04/2024 Duración: 30minHoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
-
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani - Aprili 19, 2024
19/04/2024 Duración: 30minIsraeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
-
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar - Aprili 18, 2024
18/04/2024 Duración: 30minUhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar
-
Watalaam wa hali ya hewa watoa sababu ya mvua kubwa Tanzania - Aprili 17, 2024
17/04/2024 Duración: 29minWatalaam wa hali ya hewa watoa asababu ya mvua kubwa Tanzania
-
Alfajiri - Aprili 16, 2024
16/04/2024 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai - Aprili 15, 2024
15/04/2024 Duración: 30minTrump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai
-
Kwa nini kifo cha OJ Simpson kimeibua mjadala kuhusu mahusiano ya rangi Marekani? - Aprili 12, 2024
12/04/2024 Duración: 29minNyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Marekani NFL na mcheza filamu ambaye alifutiwa mashtaka ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume katika kesi iliyoteka Marekani na dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
-
Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama - Aprili 11, 2024
11/04/2024 Duración: 30minMashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama
-
Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21 - Aprili 10, 2024
10/04/2024 Duración: 29minKikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21
-
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya ardhini Rafah yazua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo - Aprili 09, 2024
09/04/2024 Duración: 29minKauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.
-
Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024
08/04/2024 Duración: 29minBaadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
-
Zimbabwe yaomba msaada wa dola bilioni 2 kukabiliana na uhaba wa chakula - Aprili 04, 2024
04/04/2024 Duración: 29min