Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:32
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Watalaam wa hali ya hewa watoa sababu ya mvua kubwa Tanzania - Aprili 17, 2024
17/04/2024 Duración: 29minWatalaam wa hali ya hewa watoa asababu ya mvua kubwa Tanzania
-
Jeshi la Afrika Kusini laongeza muda wa kutumwa kwa wanajeshi wake Msumbiji na DRC - Aprili 16, 2024
16/04/2024 Duración: 30minJeshi la Afrika Kusini laongeza muda wa kutumwa kwa wanajeshi wake Msumbiji na DRC.
-
Trump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai - Aprili 15, 2024
15/04/2024 Duración: 30minTrump anaelekea mahakamani akiwa rais wa kwanza aliyetoka madarakani kukabiliwa na mashtaka ya jinai
-
Kwa nini kifo cha OJ Simpson kimeibua mjadala kuhusu mahusiano ya rangi Marekani? - Aprili 12, 2024
12/04/2024 Duración: 29minNyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Marekani NFL na mcheza filamu ambaye alifutiwa mashtaka ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume katika kesi iliyoteka Marekani na dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
-
Mashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama - Aprili 11, 2024
11/04/2024 Duración: 30minMashirika 160 yamwandikia Biden kutaka DRC ijumuishwe kwenye mpango wa hadhi maalum kwa sababu za ukosefu wa usalama
-
Kikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21 - Aprili 10, 2024
10/04/2024 Duración: 29minKikosi cha Kichina cha Monusco chaondoka DRC baada ya maika 21
-
Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya ardhini Rafah yazua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo - Aprili 09, 2024
09/04/2024 Duración: 29minKauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.
-
Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024
08/04/2024 Duración: 29minBaadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
-
Zimbabwe yaomba msaada wa dola bilioni 2 kukabiliana na uhaba wa chakula - Aprili 04, 2024
04/04/2024 Duración: 29min -
Rais mpya wa Senegal Faye amteua mshirika wake Ousmane Sonko kama waziri mkuu - Aprili 03, 2024
03/04/2024 Duración: 29min -
Wanajeshi wa Afrika Kusini waliopelekwa DRC walalamika kuwa hawana vifaa vya kutosha - Aprili 02, 2024
02/04/2024 Duración: 29min -
Makazi ya waziri mkuu wa Libya yashambuliwa kwa guruneti - Aprili 01, 2024
01/04/2024 Duración: 30min -
Jumuiya ya SADC 'yasikitishwa' na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC - Machi 29, 2024
29/03/2024 Duración: 30minJumuiya ya SADC yasikitishwa na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC
-
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore - Machi 28, 2024
28/03/2024 Duración: 30minMili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore
-
Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli - Machi 27, 2024
27/03/2024 Duración: 29minGavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.
-
Senegal: Bassirou Faye aahidi wananchi kwamba ataongoza kwa unyeyekevu na uwazi - Machi 26, 2024
26/03/2024 Duración: 29minMgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.
-
Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani - Machi 25, 2024
25/03/2024 Duración: 30minHesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.
-
Miji mikubwa ya DRC inakabiliwa na joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa - Machi 21, 2024
21/03/2024 Duración: 29min