Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:30
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Blinken na mkuu wa jeshi la Sudan wajadili haja ya kumaliza vita nchini Sudan - Mei 29, 2024
29/05/2024 Duración: 29min -
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza nia yake ya kuiteua nchi ya Kenya kuwa mshirika mkubwa wa Marekani ambaye sio mwanachama wa NATO - Mei 24, 2024
24/05/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais Biden amekutana White House na Rais Ruto wa Kenya kwa ziara ya kitaifa wakati Kenya ikijiandaa kupeleka askari wake 1,000 huko Haiti. - Mei 23, 2024
23/05/2024 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniel akuatana ana kwa ana na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump - Mei 22, 2024
22/05/2024 Duración: 29minMwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniels alikutana ana kwa ana na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump siku ya Jumanne, akiwaambia majaji katika kesi yake ya New York kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi naye mwaka 2006 na alilipwa dola 130,000 ili kukaa kimya.
-
Sintofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapigano - Mei 21, 2024
21/05/2024 Duración: 29minintofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapigano
-
Serikali ya Tanzania yasema wananchi walivamia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro - Mei 20, 2024
20/05/2024 Duración: 30minSerikali ya Tanzania yasema wananchi walivamia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro
-
Maelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabaya - Mei 17, 2024
17/05/2024 Duración: 29minMaelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabaya
-
Mdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya Marekani - Mei 16, 2024
16/05/2024 Duración: 30minMdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya Marekani
-
Ikulu ya Marekani yatoa sababu za kumwalika Rais wa Kenya William Ruto - Mei 15, 2024
15/05/2024 Duración: 29minIkulu ya Marekani yatoa sababu za kumwalika Rais wa Kenya William Ruto
-
Rais Biden ametoa amri ya kuzuia kampuni ya madini ya Cryptocurrenvy inayoungwa mkono na China kumiliki ardhi huko Wyoming. - Mei 14, 2024
14/05/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Misri yatangaza nia ya kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel - Mei 13, 2024
13/05/2024 Duración: 30minMisri yatangaza nia ya kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
-
Mazungumzo ya amani na maridhiano ya Sudan Kusini yaanza mjini Nairobi, kenya - Mei 10, 2024
10/05/2024 Duración: 30minVikao vya mazungumzo ya amani nchini Sudan Kusini vinatarajiwa kuanza Rasmi hii leo mjini Nairobi, nchini Kenya.
-
Alfajiri - Mei 09, 2024
09/05/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mafuriko nchini Burundi yasababisha uharibifu mkubwa wa mali - Mei 08, 2024
08/05/2024 Duración: 29minSerikali za nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zatoa tahadhari kwa raia, kufuatia mvua kuba zinazoendelea, zilizosababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
-
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria - Mei 07, 2024
07/05/2024 Duración: 30minWhite House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria
-
Idadi ya watu waliopoteza maisha DRC kufuatia shambulizi lililolenga kambi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka. - Mei 06, 2024
06/05/2024 Duración: 30minIdadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia mashambulizi yaliyolenga kambi ya wakimbizi nchini DRC yaongezeka.
-
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi - Mei 03, 2024
03/05/2024 Duración: 30minTrump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi
-
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini Kenya - Mei 02, 2024
02/05/2024 Duración: 30minMafuriko yasababisha vifo vya watu 181 nchini Kenya