Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:32
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Madereva wa mabasi nchini Kenya kufanya tena mtihani wa kuendesha gari - Machi 20, 2024
20/03/2024 Duración: 30min -
Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waanza kuondoka Haiti huku hali ya sintofahamu ikitanda - Machi 15, 2024
15/03/2024 Duración: 29minUmoja wa Mataifa umeanza kuwaondowa wafanyakazi wake wasio na majukumu muhimu nchini Haiti kutokana na kuongezeka kwa ghasia na ukosefu wa usalama katika taifa hilo la Caribean.
-
Mswada ambao huenda ukaipiga marufuku TikTok Marekani wapitishwa na Baraza la Wawakilishi - Machi 14, 2024
14/03/2024 Duración: 29minBaraza la Wawakilishi la Marekani, Jumatano liliidhinisha mswada, wa kuilazimisha programu maarufu ya mtandao wa kijamii, TikTok, kujitenga na kampuni mama, inayomilikiwa na China, ya ByteDance au kuuza sehemu ya programu hiyo kwa Marekani.
-
Mchakato wa Kenya kutuma polisi Haiti wasitishwa hadi uongozi wa kisiasa uimarike - Machi 13, 2024
13/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Marekani yasema yawekea vikwazo mtandao mpana wa taasisi, makampuni na watu binafsi, inaosema unafadhili wanamgambo wa al-Shabaab - Machi 12, 2024
12/03/2024 Duración: 30minAfisi ya Wizara ya Fedha ya Marekani inayohusika na Udhibiti wa Mali za Kigeni (OFAC), Jumatatu imeyawekea vikwazo mashirika 16 na watu binafsi, ambao inasema wanahusika katika mtandao mpana wa biashara unaozunguka Pembe ya Afrika, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Cyprus.
-
Waislamu kuanza mfungo wa Ramadhan Jumatatu - Machi 11, 2024
11/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais Joe Biden asifu mafanikio ya utawala wake miezi michache kabla ya uchaguzi wa rais - Machi 08, 2024
08/03/2024 Duración: 29min -
Wamiliki wa shule binafsi nchini Tanzania walalamikia kodi kubwa - Machi 07, 2024
07/03/2024 Duración: 30min