Sbs Swahili - Sbs Swahili

New report shows women more likely to experience financial stress than men - Ripoti mpya ya baini wanawake wanaweza kabiliwa kwa matatizo yaki fedha kuliko wanaume

Informações:

Sinopsis

A survey of 2,000 Australian employees has revealed women are more likely to experience financial stress than men with single parents particularly affected. - Utafiti wa waaustralia elfu mbili ambao ni waajiriwa, ume baini kuna uwezekano mkubwa wanawake hukabiliana na matatizo yakifedha kuliko wanaume, na wazazi wasio na wachumba huathiriwa zaidi.