Sbs Swahili - Sbs Swahili

Government cancels hundreds of visas for convicted criminals - Serikali ya futa viza zamamia yawahalifu walio hukumiwa

Informações:

Sinopsis

More than 800 criminals were stripped of Australian visas in 2018, with just over 12 per cent involved in child sex offences or child exploitation. - Viza za idadi ya wahalifu zaidi ya takriban mia nane zilifutwa nchini Australia mwaka jana wa 2018, asilimia 12 kati ya wenye viza hizo wakiwa wamehusika katika unyanyasaji wakingono dhidi ya watoto au unyanyasaji wa watoto.