Sbs Swahili - Sbs Swahili

Doubts expressed as opposition leader wins DRC presidential vote - Mashaka yazingira tangazo la rais mteule wa DRC

Informações:

Sinopsis

Opposition leader Felix Tshisekedi has been named the winner of the Democratic Republic of Congo's presidential election, in a result that has surprised many and led others to question whether the voting was rigged. - Kiongozi wa upinzani Felix Tshisekedi ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo, katika matokeo ambayo yame washangaza watu wengi, naku zua gumzo miongoni mwa baadhi ya watu ambao wame hoji uhalali wa kura uchaguzi huo.