Habari Rfi-ki

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 3:49:18
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Episodios

  • Tanzania, Uganda na DRC zafuzu kucheza AFCON

    22/11/2024 Duración: 10min

    Hujambo na karibu kwenye makala ya habari rafiki, leo tunajadili kufuzu kwa mataifa ya Tanzania Uganda na DRCongo , kucheza kwenye mchuano ya kuwania AFCON, mataifa haya yakiwakilisha Afrika Mashariki nchini Morroco mwaka ujao.   Je unazungumziaje kufuzu kwa mataifa haya?Haya hapa baadhi ya maoni.

  • Kenya : Askofu wa kanisa katoliki walaani serikali

    19/11/2024 Duración: 09min

    Katika makala tunajadili hatua ya viongozi wa dini nchini Kenya, kutuhumu serikali kwa kile wamedai imekuwa ikitoa ahadi za uongo kwa raia. Je unazungumziaje kauli hii ya viongozi wa dini nchini Kenya? Haya hapa maoni yako.

  • Sudan : IGAD yapendekeza vikosi kutuma kulinda raia

    18/11/2024 Duración: 09min

    Kwenye makala hayai tunajadili hatua ya Jumuiya ya IGAD kuripotiwa kupendekeza kutumwa kwa wanajeshi wa kulinda amani toka nchi za Afrika ambazo hazijajihusisha kwenye mzozo unaoendelea ili kusimamia mkataba wa usitishaji mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa RSF nchini #sudan. Unamtazamo gani kwa pendekezo hili? Haya hapa baadhi ya maoni yako.

  • Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio na habari juma lote ikiwemo COP29

    15/11/2024 Duración: 10min

    Madu huru zilizoangaziwa na wasikilizaji wetu wiki hii

  • Australia imeridhia sheria kuwazuia watoto kutotumia mitandao ya kijamii

    14/11/2024 Duración: 10min

    Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

  • Australia yapitisha sheria ya kuwazuia watoto kutumia mitandao ya kijamii

    14/11/2024 Duración: 10min

    Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

  • Baraza la usalama limejadili mapendekezo ya Uingereza kuhusu mzozo wa Sudan

    14/11/2024 Duración: 09min

    Mapendekezo ya taifa la Uingereza  yanataka  vita kusitishwa nchini Sudan na kuruhusiwa  misaada ya kibinadamu kuwafikia waathiriwa.

  • Changamoto zinazoandama mipango ya bima ya afya katika mataifa ya Afrika

    12/11/2024 Duración: 10min

    Nchini #kenya ,wagonjwa wengi wanaendelea kutaabika kupata huduma za afya kufuatia changamoto zinazotokana na utekelezwaji wa mpango mpya wa afya ,SHIF Hali hii ndiyo pia inayokumba nchi nyingi za Afrika zinazojaribu kutekeleza mipango ya afya inayosimamiwa na serikali.

  • Viwango vya umaskini nchini Uganda vimeongezeka mno ,yasema ripoti mpya

    11/11/2024 Duración: 08min

    Umaskini umeendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo nchini Uganda Ripoti ya shirika moja lisilo la kiserikali nchini #Uganda, inayoonesha kuwa karibu asilimia 68 ya raia nchini humo wanapata ugumu kujikimu kimaisha kutokana umasikini.

  • Maoni ya waskilizaji kuhusu taarifa zetu juma hili

    09/11/2024 Duración: 09min

    Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.

  • Utekaji wakithiri kwa mataifa ya Africa Mashariki

    07/11/2024 Duración: 09min

    Katika Makala haya, tunajadili hatua ya hivi karibuni ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yamendelea kurekodi ongezeko la visa vya utekaji na mauaji, vingi vikitekelezwa na idara za usalama au watu wasiojulikana. Unazungumziaje hali hii ?  Haya hapa baadhi ya maoni yako.

  • Donald Trump arejea White House kwa kishindo

    07/11/2024 Duración: 10min

    Donald Trump amechaguliwa tena rais wa Marekani baada ya kukaa kwenye kijibaridi kwa kipindi cha miaka 4. Waskilizaji wa rfi Kiswahili walikuwa na maoni haya baada ya mshindi wa Trump.

  • Botswana : Chama tawala chasalimu amri

    05/11/2024 Duración: 09min

    Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo  Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa upinzani, Duma Boko akiapishwa kuhudumu rais kama rais wa sita wa Botswana. Je mataifa mengine ya Afrika yenye vyama vya ukombozi madarani yanaweza jifunza nini kutokana na uchaguzi wa Botswana?Ndilo swali Tumekuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako.

  • Africa: Uturuki yashiriki mkutano na Africa kuimarisha uhusiano

    05/11/2024 Duración: 09min

    Taifa la Uturuki limefanya mkutano na  viongozi wa Africa, nchi hiyo ikilenga kuimarisha uhusiano wake na Africa. Lakini je kuna la ziada katika mkutano huu. Haya hapa baadhi ya maoni yenu.

  • Tatizo la ajira kwa vijana katika nchi za Afrika Mashariki

    31/10/2024 Duración: 10min
  • Kenya: pendekezo la kufanya marekebisho ya katiba kuongeza muda rais na wabunge madarakani

    29/10/2024 Duración: 10min
  • Upinzani kupinga uchaguzi wa Oktoba 9 nchini Msumbiji

    29/10/2024 Duración: 10min
  • Kuongezeka kwa ubakaji dhidi ya wanawake na wasichana kwenye maeneo yenye mizozo

    02/10/2024 Duración: 09min
  • Ripoti yaonesha kushuka kwa uaminifu wa uchaguzi kati ya mwaka 2020 na 2024 katika nchi 21 Afrika

    30/09/2024 Duración: 10min
  • Kwa nini bado usawa wa kijinsia haujafikiwa katika mataifa mengi ya Afrika

    26/09/2024 Duración: 09min

    Ripoti ya hivi karibuni ya umoja wa mataifa ,kuhusu usawa wa kijinsia, takwimu zinaonesha hatua kupigwa lakini changamoto bado zimesalia.

página 1 de 2