Sinopsis
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodios
-
Majengo duni yanayoporomoka na kusababisha majanga barani Afrika
25/09/2024 Duración: 09minWiki iliyopita watu kadhaa walipoteza maisha kufuatia jengo liloporomoka nchini Sierra Leone
-
Ajali za boti katika mataifa ya Afrika yakiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
24/09/2024 Duración: 10minWatu wengi wameendelea kupoteza maisha katika majanga ya majini
-
Mwanae rais wa Uganda Jenerali Muhoozi asema nchi hiyo itaongozwa na polisi au jeshi
23/09/2024 Duración: 10minJenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.