Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:46:26
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu

    13/12/2024 Duración: 07min

    Mahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.

  • Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024

    13/12/2024 Duración: 22min

    Serikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.

  • Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi

    10/12/2024 Duración: 08min

    Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.

  • Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024

    10/12/2024 Duración: 16min

    Waziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt.

  • Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali

    06/12/2024 Duración: 06min

    Kiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.

  • Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024

    06/12/2024 Duración: 21min

    Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.

  • Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine

    06/12/2024 Duración: 06min

    Australia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.

  • Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"

    03/12/2024 Duración: 13min

    Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.

  • Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024

    03/12/2024 Duración: 19min

    Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.

  • Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia

    03/12/2024 Duración: 16min

    Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.

  • Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024

    29/11/2024 Duración: 18min

    Waziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.

  • Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini

    29/11/2024 Duración: 07min

    Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.

  • Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024

    26/11/2024 Duración: 15min

    Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.

  • Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi

    26/11/2024 Duración: 13min

    Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.

  • Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"

    19/11/2024 Duración: 27min

    Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.

  • Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024

    19/11/2024 Duración: 18min

    Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.

  • Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia

    19/11/2024 Duración: 14min

    Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.

  • Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024

    15/11/2024 Duración: 19min

    Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.

  • Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa

    15/11/2024 Duración: 11min

    Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.

  • Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC

    15/11/2024 Duración: 07min

    Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.

página 1 de 26