Seth Wa East

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 1:31:33
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!

Episodios

  • Work on yourself

    04/03/2021 Duración: 02min

    Share with someone who needs to hear this today they might thank you. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/setheast/message

  • What's Love Reminder ❤️

    03/03/2021 Duración: 03min

    Say YES if you know this feeling --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/setheast/message

  • A Real Friend Reminder

    03/03/2021 Duración: 05min

    Tag a real Friend! --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/setheast/message

  • Apple Music ndani ya Bongo,Darasa mtandaoni na Teachable

    06/05/2020 Duración: 16min

    Apple Music Kupanua wigo wake katika nchi zifwatazo Africa:  Algeria, Angola, Benin, Chad, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Namibia, Republic of the Congo, Rwanda, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, Tanzania, Tunisia na Uganda. Teachable : Wewe ni Mwalimu? Basi; Tengeneza na Uza  masomo mazuri  na Teachable Ustadi wako na uzoefu wako ni wakipekee na wenye thamani. Kwa urahisi kabisa unda tovuti nzuri,Sambaza maarifa yako na upate thawabu. https://www.apple.com/apple-music/ https://teachable.com/ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • Barakoa (facemask) na matumizi yake dhidi ya Corona

    16/04/2020 Duración: 12min

    Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya BARAKOA (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake. KUTOKANA NA UWEPO HAFIFU WA VIFAA VYA UPIMAJI PAMOJA NA UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU YA KUKUTANA NA MISONGAMANO YA WATU MIMI NAONA NI VYEMA TU KUIVAA MAANA NI NGUMU KUJUA KAMA TUMEAMBUKIZWA TAYARI AU WALIOTUZUNGUKA WAMEAMBUKIZWA AMA LAH --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • Yahusu Corona, Umbali wa kijamii na Arubaini (40) kama namba ya Mungu

    07/04/2020 Duración: 20min

    Episode ya Leo kwenye Seth Wa East yahusu Corona Virus (COVID19), Umbali wa Kijamii na Ambavyo Mungu amekua akitumia namba 40 na Jinsi namba 40 ilivyoonekana tena kwenye tukio la mlipuko wa kirusi cha Corona. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • CORONA ITAKOMA!

    30/03/2020 Duración: 14min

    Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali kunasaidia kuepusha kusambaa kwa virusi kwa sababu mtu aliyeathrika na virusi vya corona anaweza kukohoa au kupiga chafya inayoamabatana na mate yaliyobeba virusi hivyo kaka karibu, unaweza kuvuta virusi hao. Tazama  Filamu iliotoka 2011 ya 'Contagion' Wakiwemo waigizaji maarufu kutoka Hollywood Matt Damon Laurence Fishburne Gwyneth Paltrow Jude Law --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • ENCORE

    29/02/2020 Duración: 01min

    Seth wa East anauliza? Je Upo tayari! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • Episode 4

    18/09/2018 Duración: 02min
  • Nitunze Nikutunze

    05/06/2018 Duración: 04min

    Wiki ya Mazingira, Je! dustbin(Vyombo vya kuweka taka) Vinajitosheleza kwenye miji yetu? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • Tabasamu

    23/04/2018 Duración: 04min

    Ishi na Utabasamu Maisha yawe Mwororo --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

  • Mchanakazi

    08/04/2018 Duración: 02min

    Daily noon hustle --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Compartir