Sbs Swahili - Sbs Swahili

Dkt Damascent aweka wazi jinsi yaku epuka saratani ya tezi dume

Informações:

Sinopsis

Afya ni moja ya vitu ambavyo wanaume wengi kote duniani hufeli kutilia maanani, wengi wao wakisubiri hadi wanakuwa katika hali mbaya zaidi kupata huduma.