Sbs Swahili - Sbs Swahili

Mwalimu na nahodha wake watofautiana kuhusu matarajio kwa kombe la dunia

Informações:

Sinopsis

Kombe la Afrika la Sydney, NSW lina elekea katika robo fainali na tayari timu husika zimejua kinacho wasubiri katika mechi hizo.