Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 20 Novemba 2022

Informações:

Sinopsis

Waziri Mkuu Anthony Albanese ame elezea imani yake kuwa vizuizi vya biashara kutoka China dhidi ya Australia vyenye thamani ya dola bilioni 20, vita anza kuondolewa baada ya mkutano wake na Rais Xi Jinping katika hoteli yamapumziko kisiwani Bali ambako mkutano wa G20 uliandaliwa.