Sbs Swahili - Sbs Swahili

George "Uzuri wa spoti ni kwamba haubagui"

Informações:

Sinopsis

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar lime ingia katika siku ya tatu, na mashabiki wamepata burudani tele katika kila mechi ambayo wametazama.