Sbs Swahili - Sbs Swahili

Dr Masengo: "Kuna mbinu nne zaku tatua changamoto unazo kabili"

Informações:

Sinopsis

Watu wengi duniani wanakabiliana na changamoto za kila aina, ambazo huwapa hisia ni kama hazina suluhu.