Sbs Swahili - Sbs Swahili

Jeshi la Kenya kuongoza vikosi vyawalinda amani DRC

Informações:

Sinopsis

Kenya inaongoza kikosi cha jeshi la Afrika Mashariki kinacho chukua nafasi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa, ambavyo kwa sasa vinashika doria katika Jamhuri yakidemokrasia ya Congo.