Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya habari 8 Novemba 2022

Informações:

Sinopsis

Serikali ya shirikisho imesisitiza ina nia yakutekeleza ahadi ilizotoa katika kampeni za uchaguzi mkuu, kupitia muswada wao wa mahusiano ya viwanda.