Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 23 Oktoba 2022

Informações:

Sinopsis

Waziri Mkuu amesema bajeti ya shirikisho itakayo tolewa Jumanne, itakuwa na hatua za usimamizi wa dharura pamoja na maandalizi ya maafa wakati dharura ya mafuriko inaendelea katika sehemu kubwa ya pwani ya mashariki ya taifa kwa wiki ya pili.