Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2022

Informações:

Sinopsis

Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers ame ahidi kutoa bajeti itakayo lenga kutoa afueni kwa gharama ya maisha, kupiga jeki uchumi pamoja nakuwa rafiki kwa familia.