Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 30 Oktoba 2022

Informações:

Sinopsis

Waziri wa nishati Chris Bowen ametetea sera za nishati za serikali. Bajeti ya shirikisho ya wiki hii inatabiri kupanda kwa bei ya rejareja ya umeme, ya 56% kwa miaka mbili ijayo, wakati bei ya rejareja ya gesi itaongezeka kwa 40% katika wakati kama huo.