Sbs Swahili - Sbs Swahili

Jean Marie "Viongozi wajamii wanafanya wawezavyo kusaidia jamii wakati huu wa mafuriko ya Shepperton"

Informações:

Sinopsis

Mji wa Shepperton jimboni Victoria unaendelea kukabiliwa kwa mafuriko ambayo yame walazimisha wakaaji kuhama nyumba zao nakutafuta hifadhi kwa marafiki na vituo vya dharura.