Jukwaa La Michezo
CAF: Droo ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada yakamilika
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:23:52
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa droo ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada 2024, fainali ya klabu bingwa Afrika kwa kina dada, nini maana ya Tanzania na Uganda kuwakilisha CECAFA kwenye AFCON 2024, mechi za kufuzu ligi ya Afrika ya Basketboli na michuano ya kufuzu Mashindano ya Afrika ya Basketboli, ligi za ukanda na ulaya Pep Guardiola atia saini mkataba mpya klabuni Man City.