Jukwaa La Michezo
Fahamu mchezo wa Tong IL Moo Do kuelekea mashindano ya Mombasa Open 2024
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:23:50
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Tuliyokuandalia ni pamoja na mahojiano ya moja kwa moja na washikadau wa mchezo wa Tong IL Moo Do ambao walitutembelea studioni. Mchezo huu unazidi kukua Afrika. Je, unachezwaje, nini umuhimu wake, umepiga hatua kiasi gani, maandalizi ya makala ya Mombasa Open ya mwaka huu yakoje? Pia tumeangazia Ligi ya Klabu bingwa Afrika, msimu mpya wa raga ya HSBC duniani na Kombe la Mataifa ya Afrika ya kina dada mchezo wa handboli ambayo ilianza wiki hii pamoja na uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Ulaya