Sbs Swahili - Sbs Swahili
Nini hutokea unapo ripoti kesi ya ubakaji kwa polisi nchini Australia?
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:13:55
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Nchini Australia, ukatili wakijinsia ni kosa la jinai, kama umelazimishwa, umetishwa, au umedanganywa kufanya tendo lakingono dhidi ya hiari yako, unaweza taka ripoti tendo hilo kwa polisi ili aliyefanya tendo hilo afunguliwe mashtaka. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa mgumu sana kisheria nakihisia. Hivi ndivyo unastahili tarajia.