Habari Rfi-ki

Nini kifanyike kutatua wimbi la wakimbizi Africa

Informações:

Sinopsis

Katika makala haya tunajadili maadimisho siku ya kimataifa ya wakimbizi, yaliofanyika juma lililopita  ripoti zikionesha watu zaidi ya millioni 120 duniani wanakimbia mataifa yao kutokona na mizozo, uchumi mbaya na mabadiliko ya tabia nchi. Tumekuuliza nini kifanyike kukabiliana na wimbi la wakimbizi duniani? Haya hapa baadhi ya maoni yako