Habari Rfi-ki

Burundi : Uhaba wa mafuta wazidi kutatiza shughuli za usafiri

Informações:

Sinopsis

Katika makala haya tunaangazia  taifa la Burundi linalozidi  kushuhudia uhaba mkubwa wa mafuta, hili likitatatiza shughuli za usafiri katika taifa hilo la Africa mashariki. Tumekuuliza unafikiri nini huwa chanzo cha ukosefu wa mafuta katika mataifa yetu? Haya hapa baadhi ya maoni yako.