Habari Rfi-ki

Haiti : Je polisi wa Kenya watafulu kuzima vurugu kule Haiti

Informações:

Sinopsis

Kenya imetuma polisi wake nchini Haiti kwenda kujaribu kudhibiti magenge ya wahalifu ambayo yametatiza usalama wa taifa hilo kwa kipindi kirefu. Polisi wa Kenya wanaenda Haiti licha ya mataifa kama Marekani kushindwa kurejesha amani nchini Haiti.Je Polisi wa Kenya watafaulu? ndilo swali tumekuuliza.Haya hapa baadhi ya maoni yako.