Habari Rfi-ki

Somalia : Yataka ujumbe wa umoja wa mataifa wa kisiasa kuondoka

Informações:

Sinopsis

Serikali ya Somalia imeandikia bazara la usalama  la umoja wa mataifa ikitaka ujumbe wa umoja huo ambao umekuwa ukisaidia serikali katika maswala ya kisiasa na usalma kuondoka. Hakuna sababu maalumu zilizotolewa na serikali ya Somalia, hapa tunakuuliza je ni sahihi kwa ujumbe huu wa umoja wa mataifa  kuondoka kipindi hiki nchi hiyo ikizidi kupitia changamoto za kiusalama? Haya hapa baadhi ya maoni yako.