Habari Rfi-ki

Je mataifa tajiri yanaweza saidia mataifa maskini kupata nishati safi

Informações:

Sinopsis

Wiki hii Paris, ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa kujadili namna ya kuyasaidia mataifa masikini hasa barani Afrika, kufikia malengo ya kukumbatia nishati safi ya kupikia na kuachana na mkaa na kuni. Ufaransa, imeahidi kutoa Euro Milioni 100 kusaidia kufikia malengo hayo ndani ya miaka mitano ijayo.Unaamini mataifa tajiri yatasaidia Afrika katika hili ?Serikali ya nchi yako inafanya nini kukumbatia matumizi ya nishati safi kama gesi ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.