Habari Rfi-ki

Kila Ijumaa ni fasi yako mskilizaji kuchangia mada ndani ya rfi Kiswahili

Informações:

Sinopsis

Kila siku ya Ijumaa rfi Kiswahili inakupa mskilizaji nafasi ya changai mada yoyote ambayo unapenda, liwe jambo linalofanyika hapo ulipo au yale umeskia katika taarifa wetu. Juma hili pamekuwa na matokeo mengi tu, katika ulingo wa siasan michezo, biashara, usalama na hata mazingira.Hii hapa baadhi ya michango yenu.