Sbs Swahili - Sbs Swahili

Labor yashinda uchaguzi wa NSW, nakusitisha miaka 12 katika upinzani

Informações:

Sinopsis

Labor imekamilisha kinacho julikana kama ushindi thabiti wakisiasa katika bara zima la Australia, baada ya matokeo ya uchaguzi wa New South Wales.