Sbs Swahili - Sbs Swahili

Wanafunzi wakimataifa nchini kukabiliwa kwa mageuzi ya haki za kazi

Informações:

Sinopsis

Idadi ya masaa ambayo wanafunzi wakimataifa nchini Australia wanaweza fanya kazi chini ya masharti ya viza zao itabadilika kuanzia Julai.