Jioni - Voice Of America

Watetezi wa haki wanazitaka serikali katika nchi zao kuongeza juhudi za kusitisha ukiukaji wa haki za binadamu. - Desemba 10, 2024

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.