Changu Chako, Chako Changu
Msani Olivier kutoka Bukavu azungumzia tamasha la watu wa kabila la washi Nov 24 2024
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:19:56
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Makala haya Ali Bilali anazungumza na msanii Oliver wa nyimbo za asili ya washi wahavu mashariki mwa DRC kuelekea tamasha la Bushi ama Festival de Bushi. Asante kwa kuendelea kuwa muaminifu kwa radio yako na kwa mtangazaji wako asiependa makuu unaweza kumfollow kwa kubonyeza hapa Billy Bilali