Afrika Ya Mashariki

Harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa urais nchini Rwanda

Informações:

Sinopsis

Raia wa Rwanda ambao ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika mashariki, kwa sasa wapo katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Uchaguzi utakaofanyika Julai 15, 2024 kumchagua rais wao mpya Pamoja na wabungeRais anayemaliza muda wake Paul Kagame anawania kwa muhula wa nne akisaka ridhaa ya Wanyarwamda kusalia katika Ikulu ya KigaliTaifa la Rwanda linalo kadilikuwa na jumla ya wakazi 14,410,469 kati yao ni Wanyarwanda takribani milioni 9 wameandikishwa katika daftari la mpiga kura kushiriki katika uchaguzi Urais, Jambo lenye sura mpya kwa sasa ni kwa mara ya kwanza uchaguzi huo utafanyika sambamba na ule wa bunge.

Compartir