Jioni - Voice Of America

Darzeni ya watu wamefariki nchini Kenya baada ya bwawa kupasuka katika kaunti ya Nakuru kutokana na mvua kubwa zinazonyesha nchini humo. - Aprili 29, 2024

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.