Jioni - Voice Of America

Serekali ya DRC yamuagiza gavana wa Ituri kuwafurusha na kuwarudisha kwao raia wote wa China wanaochimba migodi kinyume cha sheria - Mei 02, 2024

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.