Sbs Swahili - Sbs Swahili

Je! Maandamano yamashabiki yana ushawishi kiasi gani kwa wamiliki wa vilabu?

Informações:

Sinopsis

Kwa muda mrefu mashabiki wa soka Uingereza, wame zungumzia kero zao dhidi ya wamiliki wa vilabu vyao bila kupata suluhu.