Sbs Swahili - Sbs Swahili

Miundombinu na huduma ya uzeeni vyapewa kipaumbele katika bajeti ya taifa

Informações:

Sinopsis

Serikali ya shirikisho imedokeza kuwa miundombinu na huduma ya uzeeni ni sehemu yavipaumbele, kwa matumizi kabla ya bajeti ya taifa rasmi kutolewa Jumanne 11 Mei 2021.