Sbs Swahili - Sbs Swahili

A new dawn for DR Congo - Mwanzo mpya wa DR Congo

Informações:

Sinopsis

DR Congo experienced it's first peaceful hand over of power in the Central African nations history since Independence. Members of the NSW DR Congo community shared their thoughts with SBS Swahili about the historic event. - DR Congo ilishuhudia hafla ya kukabidhiana mamlaka kwa amani kwa mara ya kwanza, hatua ambayo ilikuwa yaki historia katika taifa hilo la Afrika ya Kati tangu taifa hilo lipate uhuru. Wanachama wa jamii ya watu kutoka DR Congo, wanao ishi NSW walichangia maoni yao kuhusu tukio hilo laki historia na SBS Swahili.