Sbs Swahili - Sbs Swahili

Heed warnings when issued during natural disasters - Tii onyo zinazo tolewa wakati wa maafa ya asili

Informações:

Sinopsis

As residents of flood affected parts of Townsville estimate the potential costs to their properties and businesses, SBS Swahili spoke with members of the Swahili speaking community who live in neighboring suburbs to the flood affected areas. - Wakazi wa maeneo ambayo yame athiriwa kwa mafuriko mjini Townsville wanapo endelea kuhesabu gharama ya uharibifu kwa nyumba na biashara zao, SBS Swahili ilizungumza na wanachama wa jamii wanao zungumza Kiswahili, ambao wana ishi katika vitongoji jirani vya maeneo ambayo yame athiriwa kwa mafuriko hayo.